01 May 2015

WEMA SEPETU ATHIBITISHA KUHUSU NDOA YAKE NA SASA NI MKE WA MTU

Pichaz ziko mitandaoni.. Wema Sepetu nae kapost kwenye ukurasa wake wa Instagram, amevaa gauni la harusi.. Wema Sepetu ameolewa kweli au movie????Soudy Brown kamtafuta Wema..
alichokijibu ni kwamba ni kweli ameolewa ila hayuko tayari kumtaja mume wake.. amesema kuwa kaamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa ‘juju’.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname