01 May 2015

Picha,Kilevi cha Jux na kuhusu tuzo za kili,Viko Hapa

jux 5
Picha ya msanii wa Rnb mwenye show kali akiwa jukwaani Juma aka Jux akiwa dukani huku mikono yake ikiwa imechafuka dhahabu na pesa za kulipia dhahabu hizo imesambaa kwenye mitandao tofauti,
Unaweza kudhani ni showoff tu za kisanii ila kwenye jumbe wa picha hii Jux anakuambia kununua vitu kama dhahabu ni kilevi chake na kwamba ni zaidi ya mkufu ni asset pia na inazidi kupanda thamani kila siku.
Jux Pia ametoa shukrani kwa mashabiki wake waliompendekeza kwenye tuzo za kili.
jux 2 jux

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname