20 April 2015

WASTARA APATA AJALI NA KUANDIKA UJUMBE MZITO

 
Ni April 20 2015 mwigizaji Wastara anaandika maneno zaidi ya 100 na kuambatanisha na picha kuthibitisha kuhusu ajali aliyoipata japo hajaandika kwa undani zaidi kuhusu ajali yenyewe.
Wastara baada ya kuweka hii picha haya ndio maelezo aliyoyatoa >>>‘DUA ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA

……hali hii imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na maisha yangu couz mungu ana sababu kuniacha niendelee kupumua mpaka leo’
BOFYA KUSOMA ZAIDI PICHA NI MBAYA>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname