Watuhumiwa wakiwa tayari wamepigwa pingu chini ya ulinzi
Watu
wanne (4) wakiwa na silaha wanaosadikika kuwa ni majambazi wamekamatwa
kwenye mataa ya Ohio na Ally Hassan Mwinyi road jijini Dar es Salaam
Mchana huu. Taarifa zaidi zitawajia hapo baadaye.
Watuhumiwa wakiwa tayari wamepigwa pingu chini ya ulinzi
Tazama video, Fungua hapa chini

No comments:
Post a Comment