21 April 2015

HIZI NDIZO NYUMBA 10 ZA KIFAHARI ZINAZO MILKIWA NA HAWA MASTAA WA FOOTBALL

Tom Brady and Gisele Bundchen put their new Brentwood mansion up for sale at a staggering $50 million! LAMbali na magari ya kifahari pamoja na starehe wanazozifanya mastaa hawa wa soka duniani, pia fedha zao nyingi wamewekeza katika majumba ya kifahari, na wengi wao wamekuwa na nyumba zaidi ya moja katika miji tofauti Barani Ulaya.
YES.. Navutiwa sana na nyumba nzuri yani, hizi nimezipata nikaona itakuwa poa nikishea na wewe mtu wangu..
Hapa kuna hizi nyumba 10 kali za mastaa 1o wa soka Ulaya:-
ronaldo
Moja ya nyumba ya mchezaji bora wa dunia, Cristiano Ronaldo. Iko Hispania
MESSIII
Nyumba ya Lionel Messi imejengwa kwa aina ya kipekee, kwa juu ina uwanja wa kuchezea, ni moja ya nyumba za kifahari zilizopo kwenye mji wa Barcelona.
ney
Nyumba ya striker wa Barcelona, Mbrazil Neymar ipo Hispania.
ibra
Hii ni nyumba ya Mshambuliaji wa PSG ya Ufaransa, Zlatan Ibrahimovic, ipo katika mji wa Malmo, Sweden.
roo
Nyumba ya staa wa Uingereza, Wayne Rooney ipo katika visiwa vya Barbados.
kaka
Nyumba ya Ricardo Kaka ipo Spain
etoo lon
Nyumba ya Samuel Eto’o.. Hii ipo London, Uingereza
gonza
Nyumba ya Raul Gonzalez, straiker wa PSG, ipo katika mji wa Madrid, Hispania
rona
Mjengo wa kifahari wa Ronaldinho.. Hii ipo Spain
lampa
Nyumba ya kifahari ya Frank Lampard, hii ipo London, Uingereza mtu wangu

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname