20 April 2015

Na huyu ndio Mtanzania anayekwenda na Akon Marekani ! ni baada ya ushindi wa Airtel TRACE Music STARS !!


 
Nalimi Mayunga ni Mtanzania aliyeonyesha kipaji chake kwa hali ya juu kwenye shindano la Airtel Trace Music Stars ambalo lilifanyika juzi Nairobi Kenya na kushindanisha nchi kumi na tatu kutoka Afrika.

Anaondoka na Akon kuelekea Marekani kwa ajili ya kurekodi single yake kama mkataba unavyosema baada ya kutangazwa mshindi ambapo akiwa kwa Akon, pamoja na kurekodi pia atapata nafasi ya kupewa mafunzo awe mkali zaidi.





No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname