04 April 2015

MENGI NA MKEWE KYLN WALIVYO FUNGA NDOA YA KIHISTORIA


Mr and Mrs Mengi wakiwa na furaha siku ya Ndoa yao 
Mimi Dr. Reginald Mengi naahidi kumpenda Jacqueline Ntuyabaliwe katika shida na raha hadi kifo kitutenganishe
Ilikuwa ni furaha, upendo wa dhati na shangwe pomoni.
Baada ya miaka kadhaa ya uhusiano thabiti na uliokuwa umetawaliwa na upendo usio kifani, Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Limited, Dr. Reginald Mengi na Miss Tanzania, 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe wamefunga ndoaWawili hao wamebahatika kupata watoto wawili mapacha pamoja. Watoto hao wa kiume nao waliungana na wazazi wao kushuhudia wazazi wao wakibadilisha viapo vya ndoa.PICH A ZAIDI BOFYA HAPA>>>

1 comment:

  1. kwa kweli naupenda sana mtandao huu. kila nikipata muda wa kuingia the choice uwa nakuta iko tofauti yaani inabadilika badilika. hali hii ni ya kibunifu sana.natoa pongezi kubwa kwa mmiliki wa mtandao huu pamoja na watumishi wake.

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname