05 April 2015

VIDEO: MWANAFUNZI WA KIKE AJIYEJIFICHA NDANI YA KABATI KWA SAA 48 WAKATI WA SHAMBULIZI LA CHUO KIKUU CHA GARISSA AKILA 'LOTION' ASIMULIA MKASA MZIMA


Mwanafunzi wa kike aliyejificha ndani ya kabati kwa saa 48 wakati wa shambulizi la chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya hatimaye amejitokeza.Msichana huyo anasema kuwa alitumia mafuta aina ya 'lotion' kama chakula ili aweze kuishi.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname