04 April 2015

GOSSIP DIAMOND THE PLATNUMZ WAFUNGA NDOA NA ZARI

 NI KWELI diamondplatnumz WAMEFUNGA NDOA??  UNAKUPA UBUYU KIDOGO -----Kwa imani ya watu wengi, huenda kuanzia Ijumaa ya jana, Zari ni Mrs Naseeb rasmi! Apparenty wawili hao wamefunga ndoa kimya kimya ama

 kuchumbiana – ofcourse kwa mujibu wa picha aliyopost Diamond kwenye Instagram usiku wa jana..na kucaption hivi--- “Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi.

BOFYA KUONA PICHA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname