Imemfikia nyingine leo Soudy Brown,
shuhuda wake mmoja amesema alishuhudia mzozo kati ya Diamond Platnumz
na dereva wa daladala moja ya abiria ambayo inafanya safari zake kati ya
Kawe na Mbagala.. ishu ni kwamba daladala hiyo ilikwangua gari ya Diamond.
Soudy Brown alimtafuta Diamond lakini
simu yake haikupokelewa.. shuhuda huyo amesema mzozo haukufikia
muafaka, daladala hiyo iliondoka eneo hilo kama imetoroka tukio hivi
No comments:
Post a Comment