Hivi punde kumetokea ajali basi la Unique namba za usajili T148 bkk
likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora kugongana na liri la kampuni la
Cocacola katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye Shinyanga watu 5
wamefariki na majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa
Shinyanga Taarifa zaidi na picha na waleteeni hivi punde.
No comments:
Post a Comment