11 April 2015

Alichosema Rich Mavoko kuhusu tuhuma za kujichubua.




mavoko 3

Msanii wa bongo fleva Rich Mavoko amekanusha tuhuma za kujichubua nakusema “Lazima tuangalie wakati hizi picha zilipigwa, hio picha nikiwa na dred Locks ni yazamani sana na siku na simu bora wala application za kuedit picha kama sasa, Hii picha mpya nimepiga na Iphone” .
Rich Mavoko ameongezea kuwa “Hata maisha yangu yamebadilika,so ni kung’aa tu kwa mtu na sio kujichubua, wanaonijua watasema sijabadilika zaidi ya kung’aa tu“.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname