Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu mwenye followers
zaidi ya laki nne kwenye mtandao wa Instagram kwa siku za hivi karibuni
ameonyesha njia kwa mastaa na watu wengine baada ya kuamua kuanza kuposti
jumbe mabalimbali zenye manufaa kwa jamii na sio majungu ambayo hayana
faida yoyote, Wema amekua akiachia jumbe hizo na huku akitumia tag mbili
za BeWemaFanyaWema na 2015WalkToRemember.
Amekuwa
akiandika vingi kuhamasisha wanawake kwenye kujitafutia maendeleo huu ni
muendelezo tu. Baada ya hivi juzi kuwa balozi na kuzindua gari mpya ya kampuni
ya Mitsubishi ASX alibandika hii.
“Mwanamke simama imara. Usipojiamini mwenyewe atakuamini nani? Hamna kisichowezekana!”
Huu ni mfano mzuri sana Madam tupo nyuma yako.
“Mwanamke simama imara. Usipojiamini mwenyewe atakuamini nani? Hamna kisichowezekana!”
Huu ni mfano mzuri sana Madam tupo nyuma yako.
No comments:
Post a Comment