24 March 2015

Picha: Zari Hassan kaandika jina la 'Platnumz' ndani ya chumba chake!

Picha zimezagaa mtandaoni zikionyesha nyumba anayo imalizia malizia mkali wa Bongo Fleva Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ambazo zipo baadhi ya maeneo yakionyesha jina la Platnumz ndani ya nyumba.


Ila pia mpenzi wa msanii huyo 'Zari Hassa' ameshare picha usiku wa kuamkia leo ikimuonyesha yupo mazinzingira ya ndani huku kukiwa na jina la Platnumz ambayo haijamalizika kwenye eneo ya signboard.
A photo posted by Zari (@zarithebosslady) on
Masawali yamekuwa mwengi kuwa ni ndani ya nyumba ya msanii Diamond Platnumz au ni nyumbani kwa Zari Hassan!

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname