Wasanii huwa wanakutana na mashabiki wa
aina nyingi kila wanapokwenda kupanda kwenye stage ambapo post hii leo
inamuhusu Ommy Dimpoz ambaye alikwenda Oman na Yamoto Band Weekend hii
na walipokua kwenye stage alipanda shabiki mmoja aliedata na muziki
akaanza kucheza na Ommy Dimpoz.
Japokua haikuwa inaruhusiwa kwa shabiki
kupanda kwenye stage, shabiki huyo alipenyeza na kufanikiwa ambapo
baadae Askari akamfata ili kumshusha lakini akaishia patupu.
No comments:
Post a Comment