MAPYA ZAIDI YAIBUKA KIFO CHA ABDUL BONGE, MTUHUMIWA WA MAUAJI ATOROKA!
Umati wa vijana ukiwa hauamini kutokea kwa kifo cha Abdul Bonge.
Meneja
wa TMK Wanaume Family, Yamoto Band na Diamond, Said Fella akiwaeleza
kinachoendelea baadhi ya mastaa waliofika msibani hapo. Msanii wa filamu za Kibongo, Baba Haji, akiwaelekeza wenzake ulipo msiba. Mdogo
wa marehemu Abdul Bonge, Bab Tale akihojiwa na Mwandishi Mwandamizi na
Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Global Publishers, Richard Bukos. Fella akiwaeleza jambo vijana wake. SOMA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment