10 March 2015

Uongozi wa Diamond waongea kuhusu barua ya TRA iliyosambaa mtandaoni

Kuna barua iliyosambaa mtandaoni weekend hii inayoonekana imetoka kwenye mamlaka ya mapato nchini, TRA ikiutaka uongozi/kampuni inayosimamia kazi zake kuwasilisha nakala za mkataba wa makubaliano kati yao kuhusiana na masuala ya promotion katika kipindi cha kuanzika mwaka 2010 – 2014.

Barua hiyo pia inaongeza kuwa: Unatakiwa pia kuwasiliasha vielelezo vya ushahidi kuhusiana na huduma iliyofanyika na kiasi cha fedha kilicholipwa kulingana na ajira ya Abdulmalik Naseeb.”

Hata hivyo uongozi wa Diamond umedai kuwa barua hiyo nao wameiona kupitia mtandaoni lakini haijawafikia mkononi.

“Tunasikia tu kwenye mitandao hatuna taarifa nayo, maana hawajawasiliana na sisi,” amesema Salam, mmoja wa mameneja wa Diamond Platnumz.

“Inashangaza kuona kitu kwenye mitandao bila ya kuambiwa mhusika mkuu, tumechukulia kama changamoto zilizopo kwenye maisha,” ameongeza.

Diamond bado yupo nchini Nigeria alikoenda kutumbuiza kwenye ‘The Africa Magic Viewers’ Choice Awards 2015’

1 comment:

  1. You're the main one who's manage associated with regardless of whether you're louis vuitton replica uk in a position to help to make legal requirements associated with appeal associated with prosperity function to your advantage. Blaming your position or even other people won't function. Consider the actual reins louis vuitton replica uk inside your fingers and will also be in a position to in . nearer to your own objectives. Great routines can help you function within an structured as well as fake rolex sale wise style. Help to make the best options within existence and will also be in a position to succeed without a doubt. Obtain a coach in the event that you want to so that you will possess somebody to help you within attaining your own objectives. The coach can direct you towards the actual prada replica sale choice producing procedure as well as make sure that you can to make use of the very best of the capabilities as well as possible. The very best associated with activities to do on the day would be to obtain manage louis vuitton replica uk more than your own anxiety. It's very regular for anybody on the very first day to become anxious. Do not let this particular in order to pamper your own day. You need to proceed just about all away to become in your greatest as well as proceed just about all away in order to make an impression on your own day together with your relaxed as well as made up attitude.

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname