09 March 2015

TRA IMEMTAKA MENEJA WA MWANAMUZIKI DIAMOND, KUTOA NYARAKA ZINAZOONYESHA MIKATABA YAKE NDANI YA SIKU SABA


Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imemtaka meneja wake kutoa nyaraka zinazoonyesha Mikataba ya
Diamond ndani ya siku saba (7).Inaelekea kuna jambo haliko sawa!



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname