Kupitia account yake ya Instagram mwimbaji Shetta ameeleza namna alivyokuwa anaisubiri kwa hamu siku ya kuachilia ngoma hiyo.
Ameandika haya "Leo ni jumatatu tunashinda kesho Alafu ile jumatano
sasa kesho kutwa tarehe 25/3/2015 mzigo huu ambao hata mimi nilikua
nasubiri kwa hamu utoke ndio unatoka sasa utapata kusikia na kuona kwa
macho yako nikimaanisha Video na Audio kwa pamoja....!!#shikorobo Shetta
ft Kcee #Tanzania +#Nigeria #EastmeetWest #StriveForGreatness
#BabaQayllah Cc @iam_kcee"
No comments:
Post a Comment