
Leo katika picha ya siku ama iliyobamba, ni ya Mbunge wa Iringa, mjini, Mh.Mchungaji Peter Msigwa.
Kwa mujibu wa chanzo cha
picha hiyo iliyowekwa na Msigwa mwenyewe, k upitia akaunti yake ya
mtandao wa kijamii wa Facebook na kuipa maelezo haya “Enzi hizo nauza
mitumba (mantigo) Iringa MJINI kabla jengo la Tanesco halijajengwa……enzi hizo tuliita kumechisha.”
Mtandao huu umeona si
vibaya tukishare historia hii ambayo inaweza kuwapa ujasiri vijana na
kutokata tamaa katika kutafuta mafanikio ya ndoto zao.
No comments:
Post a Comment