31 March 2015

KAKAAKE GWAJIMA AIBUKA NA JIPYA JUU YA GWAJIMA NA PENGO

Kada wa Chama Cha Mapinduzi , Methusela Gwajima.
Methusela Gwajima (kushoto) akitoa tamko, Pius Yalula (kulia) Afisa habari idara ya Maelezo.

Wanahabri wakifuatilia tukio hilo.
KAKA wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima aitwaye Methusela Gwajima amemtaka mdogo wake kwenda kumuomba radhi Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki Dar es Salaam Mhadhama Polycarp Kadinali Pengo kwa kutoa lugha ya kumkashifu.SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname