31 March 2015

BREAKING NEWZZ.....ASKARI WAWILI WAUWAWA NA MAJAMBAZI HUKO KONGOWE




Askari wawili wameuawa na majambazi huko Kongowe, nje kidogo ya Jiji la Dar
- Inadaiwa mmoja wa majambazi hao alikuwa na panga ndo akampiga askari aliyekuwa na silaha panga la kisogoni askari akazimia na huyo jambazi kuchukua hiyo silaha akafanya mauaji hayo ya askari wawili
BUKOBAWADAU SEARCH -TAFUTA . Home BUKOBA BREAKING NEWS :ASKARI WAWILI WAUAWA NA MAJAMBAZI ENEO LA KONGOWE Majambazi wamevamia kizuizi cha polisi katika eneo la Kongowe na kuua askari wawili na na kumjeruhi mmoja na kupora SMH 2 na pia baada ya tukio hilo wamevamia sheli ya lake oil na kutokomea msitu wa vikindu mkuranga,Msako unaendelea usiku huu kuwasaka hao majambazi! CHANZO: Mtangazaji Masau Bwire,Radio Wapo Share on facebook Share on email Share on print Share on twitter More Sharing Services 4 Posted by Bukobawadau at 11:56 PM Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Reactions: 0 comment: Post a Comment Older Post Home Translate Select Language​▼ MC BARAKA WINDHOEK. COUNTER VISITORS web stats 0715505043 / 0784505045 . 0768397241 / 0754505043 My Photo Bukobawadau Contact us: Email:bukobawadau@gmail.com Phone :Mc baraka:O784 505045,0754 505043,0715 505043 Sir.loom inc:0713 397241 View my complete profile Popular Posts SIMULIZI ;UNFORTUNATE LOVE SEHEMU YA 1. katika maisha yangu ya kimapenzi nilishwahi kutoka na kufanya mapenzi na wanaume wanne na nikadanganywa, nikaumizwa na kukosa raha, niliku... MSIBA WA KOMBA MATUKIO YA KUAGA MWILI Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo... VIDEO:WIMBO WA WASANII WA KIZAZI KIPYA KUMUAGA JOHN KOMBA Wasanii wa kizazi kipya waungana kuimba na kuifariji familia ya Mhe. John Komba pamoja na Watanzania kwa ujumla. Tazama VIDEO hapa chini ... HII NDIYO NYUMBA YA KISASA ILIYOPO KIJIJINI BUGANGUZI YENYE SIFA NA VIGEZO STAHILI Naam!Kwa mara nyingine libeneke la Bukobawadau linakuletea taswira kamili ya moja kati ya nyumba iliyopo kijijini Buganguzi Wilayani Mule... ZITTO ZUBERI KABWE NA HATIMA YA KISIASA KUTOKANA NA ULEVI WA KIVULI CHA UMAARUFU TANZANIA. NA DANIEL EZEKIEL DANIEL. ZITTO ZUBERI KABWE ni miongoni wa vijana wenye uwezo mkubwa sana wa kufikiria,kuchambua,kutegua mitego,kuch... ATANGAZA NIA KUMRITHI MAMA TIBAIJUKA Anaitwa Roderick Lutembeka. Ni mzaliwa wa kijiji cha Buganguzi kata Buganguzi wilayani Muleba mkoani Kagera. Anatarajia kug ombea ubunge... NI 'BIRTHDAY PARTY' YA REHEMA RIDHIWANI..! Naam! Kubali au kataa Bi Rehema Ridhiwani pichani ni miongoni mwa wanadada wenye majina makubwa Mjini Bukoba! Tuwe wote hadi matukio ya sh... AJALI MBAYA YATOKEA IRINGA 42 WAPOTEZA MAISHA Mkuu wa Mkoa wa Iringa AMINA MASENZA amethibitisha Kuwa takribani watu 42 wamepoteza maisha na 23 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea ... LISSU ATANGAZA RASMI ZITTO KUVULIWA UANACHAMA CHADEMA Mwanasheria mkuu wa chama cha CHADEMA Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe baada... SHUGHULI YA KITCHEN PARTY (MJUBURO) WA BIBIE RUKIA NADHIR RAJABU KUFANYIKA TAR 19/4/2015 KATIKA YA UKUMBI WA LINAS . Mama Amina Sued Kagasheki wa Mtaa wa Twiga (Bilele ) Mjini hapa anapenda kuwafahamisha na kuwaalika ndugu , majirani na marafiki wa fami... CHINGAONE MWANAHARAKATI MZALENDO HARAKATI360 MCHIMBUZI.COM RIDDIM MUSIC INNOCENT.M.BLOG JEDDY BLOG WATEMI.COM MILLARDAYO THE CHOICE TANZANIA 4BLACK AMERICA AL JAZEERA MIRROR UK GOVERNMENT BLOG JOKATE.TV DJ COOLMC MUSICPLACE NIKE Tanzania Daima LENZI YA MICHEZO MAJIRA IKULU WIZARA YA AFYA TWENDE HARUSINI JAMII FORUMS PAMOJA CCM CHAMA DAILY NEWZ HAKINGOWI CHICHI HOTEL SANGA FESTO SHAFFIHDAUDA NDGSHILATU IPP MEDIA BUNDAKA WILLIAM RAIA MWEMA WILLIAM MALECELA NEWERALIMITED MTV BASE CHADEMA BLOG GOAL DJ FETTY KABELEJE JR. TUNEIN RADIO MBAO NEW COFFEE TREE HOTEL DINAMARIOS BUGANDO LIVINGWATERCENTERKAWE WAVUTI KAJUNASON G sengo JUKWAA HURU MICHUZI UNIQUE ENTERTAINMENT Tanzania Real Estate FOLLOW US Followers AIRTEL MONEY BONGO FLEVA IDADI YA WATU free hit counter Labels b (1) BUKOBAWADAU BLOG (2) M (1) Rais Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wananchi wa Muleba baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji kwa wilaya hiyo (1) Blog Archive WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043 . SIR.LOOM INC & MC BARAKA . IDADI YA WATU [free website hit counter] hit counter html Copyright © 2015 BUKOBAWADAU . MODIFIED BY SALUM S.GALIATANO (SIR.LOOM INC.)

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

1 comment:

  1. HATARI SANA /KW A MAJAMBAZI KUUA WALINZI WA MALI ZA RAIA WEMA RIP WAZALENDO!

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname