28 March 2015

DIAMOND AMPIGA VIJEMBE WEMA SEPETU HAYA YOTE NI MAISHA

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemtupia vijembe mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram usiku huu akionekana kuchukizwa na tabia ya staa huyo kupenda maisha ya starehe zisizo 
na faida.Diamond Platnumz.Katika ujumbe huo, Diamond ameandika kuwa angewaona mashabiki wa mrembo huyo wana akili na mapenzi ya dhati kama wangemshauri apunguze mashoga wapenda anasa na kuacha starehe zisizo na faida .

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname