Ni wavulana wachache ambao wanaweza kuingia jikoni na kupika chakula
kwaajili ya mpenzi au mke wake. Lakini hiyo imejulikana tangu awali kuwa
ni tofauti kwa msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ambaye amekuwa akimpikia mpenzi wake Zari Hassan chakula kabla hajawa mjamzito na hata sasa akiwa mjamzito.
Tabia hiyo imemfanya Zari Hassan awe na hili la kusema, Kupitia account yake ya Istagram Zari ameandika hili akiwa kaambatanisha na picha hapo juu "Blessed is the woman who has a man that can cook... nyt fam!!!"
Kwako msomaji, Kama ni wakike tupia maoni yako kama unapenda mpenzi akupikie au la!, na kama ni wakiume unamuonaje Dangote kwa tabia yake hiyo?
No comments:
Post a Comment