KUFUATIA sintofahamu kati ya wapenzi wawili, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa
Mitego’, ambaye ni msanii wa Bongo Fleva na Siwema Edson juu ya mtoto
wao mwenye umri wa miezi mitatu, mwanaume huyo amesema yupo tayari hata
kwa vipimo vya vinasaba (DNA) ili kuthibitisha kuwa Curtis ni mtoto wake
wa damu
No comments:
Post a Comment