Baada ya kufuga nywele na ndevu kwa muda mrefu,staa wa filamu azinyoa ilikufaa kwenye husika
Staa wa filamu Jared Leto aliyetangazwa
kucheza kwenye filamu ya “Suicide Squad” kwenye husika ya The Joker
amenyoa nywele na ndevu alizofuga kwa muda mrefu ili kufaa kwenye husika
hio.
No comments:
Post a Comment