10 March 2015

APANGA CHUMBA, KUMBE NI CHOO, ATUMBUKIA!



Muonekano wa chumba hicho chenye choo ndani.
Na Shani Ramadhani
HII nayo kali! Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Happy au mama Hassan, mkazi wa Mbande jijini Dar, wiki iliyopita yalimpata mazito kufuatia kutumbukia kwenye shimo la choo lililokuwa katikati ya chumba anachoishi kwenye nyumba aliyopanga, Uwazi lina mkasa wote.

Tukio hilo lilitokea wakati mwanamama huyo akifanya usafi chumbani humo na kujikuta akitumbukia kwenye shimo hilo ambalo awali lilikuwa la choo. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname