Afya ya mama mzazi wa msanii nyota wa
Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz, Sanura Kassim ‘Sandra’
bado si shwari juzikati hali yake ilibadilika ghafla na kuilazimu
familia yake kumkimbiza katika Hospitali ya TMJ iliyoko Mikocheni jijini
Dar ambako
amepewa kitanda, Ijumaa limetonywa.
Chanzo cha uhakika kililieleza gazeti hili kuwa mama Diamond ambaye
amekuwa akisumbuliwa na maradhi yenye kuashiria kupooza, juzikati
alizidiwa na kusababisha ndugu zake wampeleke hospitali.SOMA ZAIDI>>.
No comments:
Post a Comment