Amini Akilia jukwaani na Mkewe
Jana
Jumba la Vipaji Tanzania THT walisherehekea Miaka Kumi toka Kuanzishwa
Kwake Pale Escape 1, Mambo yalikuwa matamu sana kwani wasanii wote
walio.....
pitia
katika Jumba Hilo la Vipaji walitoa Burudani safi kabisa ya live na
kufanikiwa kuwagonga nyoyo mashabiki waliofurika kushuhudia Tukio
Hilo...Mpiga picha waUdaku Specially Eli Ulomi Aliweza Kupata Matukio
Mbali Mbali Likiwemo la Amini na Mkewe Kulia Kwa Furaha Jukwaani , Amini
na Mkewe wote ni zao la THT , walikutana Hapo na Mwisho ikazaliwa
Ndoa..
No comments:
Post a Comment