Jarida
la burudani la A-Listers limemtaja star wa movie Juliet Ibrahim kutoka
Ghana kuwa ndiye mwanamke mrembo zaidi Afrika magharibi.Juliet
ambaye pia anafahamika kama Juliet Safo ni Mghana aliyechanganyika
kutoka kwa baba mwenye asili ya Lebanon pamoja na mama mwenye asili ya
Ghana na Liberia. Kati ya filamu alizowahi kucheza ni pamoja na Crime to
Christ (2005), Honor My Will (2008), “Marriage of sorrows”(2009) na
nyingine nyingi.
Mtandao
wa Naija Gists wa Nigeria umeandika habari hii lakini mwandishi
ameonekana kutoridhishwa sana na kuhoji “Do you believe Juliet Ibrahim
is indeed the most beautiful woman in West Africa abi dey wan say the
most beautiful woman in Ghana?”
No comments:
Post a Comment