Diamond Platnumz kama mwanaume yeyote yule anayetarajia kuwa baba kwa
mara ya kwanza tena kupitia mwanamke ampendaye, amepania vilivyo
kumkaribisha mwanae kwenye sayari ya dunia.
Staa huyo ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India, amepost picha akiwa
supermarket kununua midoli kadhaa kwaajili ya mwanae huyo ajaye.
“Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy vya kuchezea,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo.
No comments:
Post a Comment