ERICK SHIGONGO ASEMA WATANZANIA TUSIKUBALI KUDHARAULIWA,AKIONGEA KATIKA KIPINDI CHA AMPLIFAYA KINACHO ENDESHWA NA MILLAD AYO ,ERICK AMESEMA MDA UMEFIKA KWA WATANZANIA KUHESHIMIWA NA MCHEZO WA KUDHARAULIWA NA WAGANDA NA WAKENYA UISHE.ALIYASEMA HAYA WAKATI AKIELEZEA KUISHIKILIA PASSPORT YA JOSE CHAMELEON KUTOKATA NA CHAMELEON KUTO TIMIZA MASHART YA MKATABA WAO.
HUYO SHIGONGO AACHE UPUUZI WAKE, KUTOKUBALI KUDHARAULIWA NDIO KUIBA PASSPORT ZA WATU? HAWA WATU WALIOKULIA VIJIJINI WANA MATATIZO SANA... HIVI HUJUI KAMA KUSHIKILIA PASSPORT YA WATU NI KOSA KISHERIA?
ReplyDeleteKAMA CHAMELEONE KAKUIBIA NENDA POLISI AKAMATWE SIO KUIBA PASSPORT ZA WATU HALAFU UJE KUSINGIZIA HUTAKI KUDHALAULIWA
true kabisa kushikiria passport ya m2 ni kosa kisheria,alipaswa kwenda police
ReplyDeleteshigongo is some piece of rotten junk.... upuuzi mtupu... he has met his match..
ReplyDelete