18 February 2015

Mtumiaje wa facebook akifariki kitu gani kitaendelea kwenye kurasa yake,Ingia hapa

facebook-inc-news-feed
Ikiwa ni miongoni mwa mtandao uaopendwa na kutumiwa zaidi duniani kwa kurahisisha watu kuwa karibu ‘Facebook‘ imekuja na suluhisho la kama mtu anayetumia mtandao huo akipoteza maisha inakuaje.
Facebook wanampango wa kuweka chagua [Option] la mtumiaje kuamiua kama akifariki je kurasa yake ifutike  au iendeshwe na mtu mwingine kama kumbukumbu yake. Huduma hii Itaanza kutumika kwa mara ya kwanza nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname