Mkuu wa mkoa wa Mwanza,Magesa
Mulongo,ambaye nimwakilishi wa Rais Jakaya Kikwete mkoani hapo,amebuni
aina mpya ya Ulinzi wake binafsi pamoja na msafara wa magari
unaoambatana naye anapokuwa katika ziara yake za kikazi
Aina hiyo ya ulinzi na msafara unaofanana kwa kiwango kikubwa na ule wanaopewa viongozi wakuu wa kitaifa,akiwemo Rais na Waziri Mkuu,ni wa kwanza kushuhudiwa na wakazi wa mkoani hapa na umedaiwa kuigharimu kiasi kikubwa cha Pesa
No comments:
Post a Comment