19 February 2015

Huu ndo Mwonekano Mpyaaaaa Wa Snura wa Majaga baada ya Kujifungua.

Siku si nyingi sana mwnamama Snura wa majanga amejifungua mtoto wake wa pili.kumekua na maneno kua Snura hataki watu wamuone hata mtoto wake na hata hakupenda watu wajue kua kajifungua.
Mpya kutoka kwa Snura jinsi mwili wake ulivyoongezeka uzito


Snura mwenyewe kupitia akauntiyake ya instagram ameweka picha hii na kuambatanisha ujumbe huu"kupungua kunahusu.si kwa ubonge hu"

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname