Huddah the boss chick aonyesha kadi ya gari,ushahidi kuwa anamiliki Range Rover anayoendesha.
Huddah The Boss lady wa Kenya aliyewahi kushiriki BBA amewanyamazisha
wale walioponda kuwa gari amepewa tu atembele ni kwamba sio yake kwa
kuweka wazi kadi ya gari yenye jina lake.
No comments:
Post a Comment