Mfanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella.
MFANYAKAZI wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella
amevamiwa na majambazi wenye silaha na kupigawa risasi, kujeruhiwa na
kisha kuporwa fedha zake mchana huu maeneo ya Tabata-Relini jijini Dar.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Pella anadaiwa kuporwa kiasi cha Sh. Mil 2
alizokuwa nazo akiwa ametoka kuzichukua kwenye mashine ya kutolea fedha
(ATM) Tawi la NMB liliyopo jirani na Azam TV, Barabara ya…
GPL
No comments:
Post a Comment