18 February 2015

Exclusive:Hatimaye Nyota wa Kimataifa Mbwana Samatta apata Mtoto wa Kwanza.... Muone hapa

Mshamubuliaji wa TP Mazembe  (DRC), Mbwana Allly Samatta ameonyesha yeye simkali wa mabao uwanjani tu anapokuwa na jezi ya klabu hiyo na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars,Bali hata kitandani anafanya vizuri.


Hiyo inafuatia mchezaji huyo wa zamani wa Mbagala Market,African Lyon na Sima SC kupata mtoto wa kiume aliyempa jina la Kareem.
Mtoto huyo aliyezaliwa Dar Es Salaam wiki iliyopita wakatati baba yake akiwa kazini Lubumbashi,yalipo makao makuu ya Tout Puissant Matembe

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname