Alex amefariki dunia kwa mjini Dodoma ikiwa ni baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Dada wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Maembe amesema Alex amefariki dunia leo saa 3 asubuhi.
Tayari taratibu za mazishi zimeanza kufanywa na imeelezwa Alex atazikwa mjini humo.
Alijulikana kwa ubora wake katika ukabaji na kuichezesha timu. Lakini pia atakumbukwa kwa kuwa mchezaji aliyepiga penalti ya mwisho iliyoivua ubingwa Zamalek na kuipeleka Simba kucheza Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika 2003, hatua ya makundi
No comments:
Post a Comment