CHEMBER SQURD NOORAH & DACK MASTER WAKIUNGANA NA WASANII WA DODOMA WAMLILIA MEZ B
Kundi
la Chember squad ambalo lilikuwa likiunganishwa na Ngwear,Mez B
,Noorah pamoja na Dack Master ..Ambapo kwa sasa wamepoteza jembe lao
lingine Mez B baada ya kuondokewa na Ngwear...
Dark
Master pamoja na Noour wakutana Dodoma na kufanya nyimbo ya pamoja
wakishirikiana na wasanii wa Dodoma kwa kuwaenzi wanachember wenzao
waliotangulia mbele ya haki.... kupiti blog hii pamoja na Planet Bongo
utapata kuwa wa kwanza kupata nyimbo hiyo ilitengenezwa na Producer
kimambo katika studio iliyopo bara bara ya 6 mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment