Fidel Odinga na mkewe
Polisi kenya ambao walikuwa
wakifanya uchunguzi juu ya kifo cha mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini
hiyo Raila odinga, Fidel Odinga na Repoti ya polisi inasema kwamba ndani ya
Nyumba yake kulikuwa na risasi ndogo na risasi ya kurushia bomu na zaidi ya
risasi 1900 ndani
ya nyumba yake iliyoke Karen jijini Nairobi,Pia walifanikiwa kukuta jacket proof zinazotumika kuzuia risasi na miwani za usiku maarufu kama and night vision goggles. Polisi wanasema Marehemu Fidel Odinga alikuwa na usajili wa kumiliki silaha ndogo
No comments:
Post a Comment