Ukiona Jirani Anafaidika Na Mali Yako....Jua Kuna Mchawi Ndani Ya Nyumba Yako-Lulu
Kwa upande wa fasheni hakuna anebisha kuwa mrembo na mwigizaji wa
filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni DIVA wa ukweli kwa hapa Bongo na
Afrika, Akitupia picha hizi Lulu aliandika msomo huu,
“Ukiona jirani anafaidika na mali yako....jua kuna mchawi ndani ya nyumba yako”
Mimi sijui alikuwa anamaanisha nini, lakini nadhani kila mtu anaweza
kutafsiri kwa namna alivyo muelewa.Jambo la msingi jionee picha hizo
alizopigwa na Slide Visuals..Enjoy!!
No comments:
Post a Comment