Twit za meneja wa Diamond Platnumz za leta utata mtandaoni, uganga kwenye bongo fleva
Meneja wa waziara wa Diamond Platnum, anayefahamika kama Salam amezua
utata kwenye mitandao tofauti kwa twi zake kali kuhusu uganga kwenye
bongo fleva na kuruka ukuta.
Mashabiki waliotoa mitazamo yao kuhusu twit zake imeonyesha kuwa
zinamlenga Ali Kiba na kilichotokea back stage sehemu waliokuwa wamekaa
wasanii.
Pia twit nyingine ilizungumzia mashabiki kumsaliti msanii moja baada ya Diamond kurusha pesa.
No comments:
Post a Comment