30 January 2015

Picha,Jumba alilouza Dr Dre na jinsi anavyokaribia ubilionea.

music
Dr Dre ambaye kwa sasa anaitwa hiphop Billionaire ameuza jumba lake la kifahari lililopo kwenye mitaa ya mastaa wa kubwa Marekani ‘Hollywood Hills ‘ kama Leo DiCaprio na Keanu Reeves.
Dre ametengeneza dola za Kimarekani milioni 32.5 ambayo ni mara mbili ya alicho lipia kwa mara ya kwanza alivyonunua jumba hilo 2011.
Nyumba ina vyumba 6, mabafu 9 na mabwawa ya kuogele. Dr Dre anakaribia kuwa bilionea baada ya taqwimu nyingi kuonyesha kuwa jamaa anathani ya dola milioni 650.
0128-dr-dre-bird-house-launch-3

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname