Mwenye namba hii
0656777151 ni tapeli mkubwa
Katoka kumliza dada mmoja sasa hivi kwenye tigo pesa

Inaonekana ana hack namba za watu na kuwatumia message marafiki wa mwenye namba kuwa umtumie Tigo pesa au M pesa kwenye namba yake anatoa namba ambayo ndio hiyoM

0656777151

Polisi, watu wa tigo, wanausalama

Tusaidieni kumkamata huyo

Natoa rai kwa wengine ikija message toka kwa rafiki yako kuwa anahitaji huduma ya mpesa au tigo pesa wapigieni kwanza mhakikishe msije kilia kama huyu dada anavyolia hapa..