19 January 2015

Lulu: Mmoja Kati ya Hawa Akinichukia Ndio Nitapata Pressure, Lakini Wengine…

Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael “Lulu” akiwa na familia yake, Mama na mdogo wake wanapata  ‘Lunch’  Aliweka picha hii mtandaoni na kuandika kuwa, kama ikitokea mmoja kati ya  wanafamilia hao, akimchukia ndio anaweza akapata ‘pressure’ lakini wengine wote hata wamchukie hawezi kujali na atatafuta njia ya kushughurika nao.

“Lunch thngz wth Family, Ikitokea mmoja kati ya hawa akanichukia ndo ntaweza kupata pressure....but the rest, I'll search 4 a Fck to give” Lulu aliandika.

Nadhani ujumbe umefika!!!
---------------------------
Ujumbe wa Leo:
Old friends pass away, new friends appear. It is just like the days. An old day passes, a new day arrives. The important thing is to make it meaningful: a meaningful friend

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname