21 January 2015

KITUKO KINGINE CHA MARIO BALOTELLI ALICHO TOA JANA USIKU...WAKATI TIMU YAKE IKICHEZA NA CHELSEA

Mario Balotelli ni mchezaji wa Liverpool alipost picha hii kwenye page yake ya Instagram akiangalia timu yake kupitia tv akiwa nyumbani. Liverpool na Chelsea walipepetana kugombea kikombe cha Capital One na timu hizo zilitoshana nguvu kwa kufungana goli moja kwa moja Balotelli akuweza kuwepo uwanjani kwa vile ni mgonjwa.


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname