19 January 2015

HUYU MWIZI ALIYEKAMATWA KWA KUIBA ACCOUNT ZA Ay na FID Q KUMBE NI MTOTO WA KIGOGO WA CCM?


Ahmed Mundhiri, kumbe ni mtoto wa Mbunge wa zamani wa Mchinga Mh. Mdhihiri Mdhihiri amekamatwa jana kwa kuiba account za watu mbali mbali kwenye mitandao wakiwemo Fid Q na AY hapa aliponaswa jana live!!

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname