19 January 2015

Huu ndio ujumbe wa wazi aliouweka Diamond Platnumz leo asubuhi kuhusiana na hofu ya maisha

Kwa kawaida imezoeleka kwa mastaa wengi kuongelea kazi zao na ku share maeneo mbali mbali ya kula bata, Lakini leo imekuwa tofauti kutoka kwa nguli wa muziki wa bongo fleva Nasib Abduli aka Diamond Platnumz 'Chibu Dangote' ambapo ameamka na ujumbe wa kuwatia watu nguvu ki maisha bila kuyaogopa.
Hiki ndicho alicho kiandika.
''Jus remember, you are a star... and in order for a star to shine there must be a Darkness... if you get scared of the Darkness that going through on you, then how are you gonna to shine?..
Wewe ni sawa na Nyota na ili nyota Ing'ae ni lazma Giza litande... Sasa unapo ogopa Giza linalokutandia kwenye maisha yako, unafkiri kesho utang'aa vipi kimafanikio? Tuskubali kushindwa kirahisi, kwani wao waliwezaje bwana...'' Ameandika Nasib Abdul leo asubuhi kupitia account yake ya instagram na facebook.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname