HIVI NDIVYO DIAMOND ANAVYO FANYA MAZOEZI KWA AJILI YA SHOW YA KESHO NIGERIA
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na vijana wake wakifanya maandalizi kwa ajili ya shoo yao ya kesho Januari 8, 2015 jijini Lagos, Nigeria kwenye hafla ya utoaji Tuzo za Mwanasoka Bora wa Afrika 2014
No comments:
Post a Comment